Mwenye uzoefu wa biashara ya kutengeneza Matofali ya ujenzi..

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,034
Reaction score
900
Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…