Mwenye uzoefu wa biashara ya uji

Mwenye uzoefu wa biashara ya uji

Mkushi w jani

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
1,798
Reaction score
1,570
Kama tittle inavyojielezea naomba kujua kwa wazoefu wa biashara za uji ambazo mara nyingi huwa zinafanyika asubuhi na jioni aweze kunipa nondo zaidi.
 
Uko mkoa gani? Ni pm nikuunganisha na mtu akupe Idea kwenye uji unaweza toboa
 
Asilimia 95 ya wanawake wanao uza uji wanauza pia mbunye ni kama wale Wanawake watembeza nguo.Na kama hauzi mbunye utaingia kwenye mtego tu na huwezi kuchomoka na utajikuta unaanza kuuza-maana wanunua uji 100% ni wanaume.
nataka nitafute mdada ndo nimpe iyo kazi ya kusambaza
 
Back
Top Bottom