goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Wakuu Nin idea za kujikita ktk pembejeo za kilimo ktk mkoa wa iringa au Moro naombeni Kama Kuna mtu anweza kunipa abcd za biashara hi naomba kwa dhat kbsa aje anishahuri mdgo wake Hapa nin Cha kufanya ikiwa mm Ni junior na Sina uzoefu na biashara hii na nimeshauri watu nijikite kwan itanitoa biashra hi mm