Kinyau
JF-Expert Member
- Nov 24, 2006
- 921
- 726
Wakuu Heshima mbele.
Hivi karibuni nimehamishia makazi Rufiji na kujipatia shamba maeneo ya utete. Je kuna mwanaJF hapa ambae ameshakuwa na experience ya ulimaji huko? ambaye tunaweza share experience ,kukodishana vifaa vya kilimo nk? Binafsi ni mkulima wa Mahindi.