Mwenye uzoefu wa kuagiza gari nje

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
448
Reaction score
170
Habari wakuu naomba ushauri nataka kuweka bench gx 100
Maana inakunywa mafuta sana.

Naomba anayejua utaratibu na ikibidi anipe calculation za kuagiza gari ushuru bandarini na TRA.
Naagiza gari aina ya Toyota runx cc1500 nataka ya mwaka 2006 ambayo ndo the latest version
Kwa mwwnye uelewa anipe wstinate ya gharama mpk mkononi.
Nawasilisha kwenu.
 
ngoja wajuaji waje ila hapo kwa TRA ahesabu yao yanaweza zidi garama ya kulinunua hilo gari huko nje
 

Huu ni ushuru pekee, angalia chini kwenye TOTAL TAXES
Kama ukiagiza ya mwaka 2006 hakikisha CIF ya gari haizidi $2553, ikizidi hii jua ushuru utalipa zaidi.

Pita kwenye mitandao ya kuuza magari upate CIF hlf ubadili USD kuwa shilingi, jumlisha na hiyo milioni 6 (ushuru)

Make:
TOYOTA
Model: RUNX
Body Type: HATCHBACK
Year of Manufacture: 2006
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 1001 - 1500 CC
Customs Value CIF (USD): 2553.86
Import Duty (USD): 638.47
Excise Duty (USD): 159.62
Excise Duty due to Age (USD): 958.00
VAT (USD): 819.83
Custom Processing Fee (USD): 15.32
Railway Dev Levy (USD): 38.31
Total Import Taxes (USD): 2629.24
Total Import Taxes (TSHS):
5681787.64
Vehicle Registration Tax (TSHS):
420000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 6101787.64
 
Kwa matokeo bora nakushauri peruzi website ya tradecarview hutajuta..
 
Wataalam wa calcuration za TRA ukitaka kuangiza gari toka nje naomba ushauli katika hili
 
Kama be forward discount code kwa ajili ya punguzo weka hii 503975,
 
Then ingia www.tra.go.tz kwa ajili ya kuangalia gharama za kodi, pia kuna gharama za bandari ambazo huwa zina range kwenye 800,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…