Hamna mtu mwenye akili timamu ataagiza trekta china
acha kumkatisha mwenzio tamaa,china ndio kila kitu kwa africa,atapata trekta mpya kwa bei nafuu sana,na ushuru bandarini ni karibu na bure..Hamna mtu mwenye akili timamu ataagiza trekta china
Hata FAW wkt zinaanza kuingia wenzako walisema hivyo hivyo,Ila Leo wanaongea habari nyingine.Hamna mtu mwenye akili timamu ataagiza trekta china
Kwani vifaa vya kilimo vimeanza kutozwa ushuru?acha kumkatisha mwenzio tamaa,china ndio kila kitu kwa africa,atapata trekta mpya kwa bei nafuu sana,na ushuru bandarini ni karibu na bure..
Kwanini umechagua trekta za kutoka China?
Hii trekta unaweza kuamua kuwa ya kutembelea tu. Kali