Kwa uzoefu wangu natumiaga kampuni TOSH, Silent Ocean mostly kupokea mizigo ambayo inakuja kwa njia ya meli.
Mzigo unaweza ukafika mapema mpaka 3 weeks pia ikitokea baharini mambo sio poa unaweza kaa hata 6 month unasubiri mzigo.
Mzigo wako ukifika wao watakupigia simu, utaenda kulipia gharama za mzigo ambazo sio kubwa kama ukitumia ndege, alafu utapewa receipt ya kwenda kuchukua mzigo wako godown.
Kwa maelezo zaidi wa check mtandaoni uwapigie.