Adriel Vin
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 148
- 759
Mmh biashara ya kuharibu mapafu ya watu sio biashara njema!
It kills silently.
🤣🤣🤣🤣
Ukiona biashara yeyeto ambayo ni sumu au haramu haina hasara Ina faida. Bei ya jumla inafahamika na bei ya rejareja inafahamu so ni biashara ambayo unajua tayari faida yake kwa KILA uzo
Hii biashara mm nimefanya inalipa na inatoka balaa,ila uwe na mtaji wa kuanzia 3mil kuendelea,Unakaa wap,Kama uko Dsm Nenda pale tip top kwenye maduka ya vinywaji Ya jumla ukiwauliza watakupa detail zote,Or ukimwama nichek Dm ntakupa connectionMimi ni kijana, mwajiriwa lakini katika kupambana na maisha na kufikiria idea mbalimbali za biashara nilikutana na mdada akanigusia kidogo sana kuhusu biashara ya kununua sigara kwa jumla na kuwauzia wanaouza kwa rejareja. Binafsi sina experience wala mchanganuo wowote kuhusu biashara hii.
Naleta kwenu wadau nikiomba kwa yeyote mwenye mchanganuo wa biashara hii tupeane mawazo. Naomba kuwasilisha
Nisaidie namba yako mkuu tuweze jadili kuhusu hiliHii biashara mm nimefanya inalipa na inatoka balaa,ila uwe na mtaji wa kuanzia 3mil kuendelea,Unakaa wap,Kama uko Dsm Nenda pale tip top kwenye maduka ya vinywaji Ya jumla ukiwauliza watakupa detail zote,Or ukimwama nichek Dm ntakupa connection
Kwema chief? hivi hii biashara ni lamza uwe wakala? au unaweza kwenda kuchulia mzigo kiwandani?Hii biashara mm nimefanya inalipa na inatoka balaa,ila uwe na mtaji wa kuanzia 3mil kuendelea,Unakaa wap,Kama uko Dsm Nenda pale tip top kwenye maduka ya vinywaji Ya jumla ukiwauliza watakupa detail zote,Or ukimwama nichek Dm ntakupa connection