CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kutokana na mayowe yanayozidi humu jukwaani juu ya goli la Aziz Ki jana kukataliwa kule bondeni aiweke ili ndugu zetu wapungeze kelele. Kunya anye kuku tu ikiwa bata kaharisha.
Kagera Sugar nayo timu nao waliumia.
Kagera Sugar nayo timu nao waliumia.