Mwenye vitabu au tutorials za mapishi ya kienyeji anisaidie

Mwenye vitabu au tutorials za mapishi ya kienyeji anisaidie

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
Mwenye vitabu au totorials za mapishi ya kienyejii ya kikabila makabila yote tz, anisaidie please.
 
Ngoja waje wenye navyo
 
Sasa unataka umshinde had shemej?
Ndio lengo kuu, kutafuta hela nimshinde, utanashati nimshinde, kimawzo nimshinde,kunyanduaa(psychology nimeiva) nimshindee , mapishi napo nimshinde nakula totorial then na apply kwa vitendo, mapishi yote tz nzima najifunza hapa hafui dafu, na mengine mengi nimshindee.
 
ndio lengo kuu, kutafuta hela nimshinde, utanashati nimshinde, kimawzo nimshinde,kunyanduaa(psychology nimeiva) nimshindee , mapishi napo nimshinde nakula totorial then na apply kwa vitendo, mapishi yote tz nzima najifunza hapa hafui dafu, na mengine mengi nimshindee.
Usije shangaa siku moja mkeo kakununia kisa watoto wamesema "bora angepika baba"
 
Usije shangaa siku moja mkeo kakununia kisa watoto wamesema "bora angepika baba"
Ndio, navotaka naoovertake kila kona ya wizara, nataka wanione kama malaikaa kumbe mdoshoo
 
Usije shangaa siku moja mkeo kakununia kisa watoto wamesema "bora angepika baba"
Ndio, navotaka naoovertake kila kona ya wizara, nataka wanione kama malaikaa kumbe mdoshoo
Aya bhana.
Penda kuingia na YouTube napo panasaidia
Nipo na Instgram, foodlovers wale wana menyu kama zote, bado mafunzo nauzulia.
 
Wewe ni mjuzi kwenye hii idara,nataka kujifunza kwa kweli ila hasa hasa vyakula vya asili.
Mm pia najifunza niseje msumbua wife nikioa na napenda kujaribu tu kupata radha tofauti ya chakula kwaiyo najikuta nalazimika kujaribu kupika pika.

Mbinu nyingine nzuri ya kujifunza kama unachakula unapenda kujifunza alika mtu/rafiki nyumbani kwako anaejua kukianda hicho chakula vizuri then kaa nae karibu jikoni mda anakiandaa. Utajikuta umejifunza mambo mengi
 
Back
Top Bottom