Mwenye wimbo wa ENIKA- BARIDI KALU auweke hapa

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Nauhitaji huu wimbo jamani.. aliye nao auweke hapa
Nahitaji AUDIO wakuu.
 
Audio ya kwenye hii video version ina low quality ndio maana nikaja kuomba kama kuna mtu mwenye audio tofauti na ile ambaye imekuwa converted kutoka katika hii video.
Okay Mkuu nipo porini nikifika Town nitawasha Desktop nikupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…