Mwenye wimbo wa Simba Day Tafadhali tuwekee.

Mwenye wimbo wa Simba Day Tafadhali tuwekee.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habarini wakuu!!
Nasikia Simba Mabingwa wa ligi kuu(Msimu uliopita),
Wametoa wimbo wao kama wimbo wa Tanzania (Yaani Mungu ibariki).
Utakaoimbwa Siku ya Simba(Simba Day)

Mwenye nao atuwekee!!
 
Habarini wakuu!!
Nasikia Simba Mabingwa wa ligi kuu(Msimu uliopita),
Wametoa wimbo wao kama wimbo wa Tanzania (Yaani Mungu ibariki).
Utakaoimbwa Siku ya Simba(Simba Day)

Mwenye nao atuwekee!!
Ngoja kwanza,Taratiiiibu,wala usiwe na haraka,

Subiri samba day au ukipenda simba day utausikia na utaupenda.
 
Habarini wakuu!!
Nasikia Simba Mabingwa wa ligi kuu(Msimu uliopita),
Wametoa wimbo wao kama wimbo wa Tanzania (Yaani Mungu ibariki).
Utakaoimbwa Siku ya Simba(Simba Day)

Mwenye nao atuwekee!!
Say no more word, I gatchu
 
Attachments

Back
Top Bottom