Nimesikia mengi toka huku mitaani. Wanakusifu sana jinsi ulivyoongoza CHADEMA kwa muda wa miaka 20 lakini wanakuomba kwa uchaguzi ujao KUBALI YAISHE.
Unaombwa kumuachia mwingine naye asimamie na kuongoza Chama. Uchaguzi ujao iwe jua au mvua Lissu anaenda kukushinda.
Naomba using'ang'anie hiyo nafasi pumzika na uwe mshauri wa CHADEMA.