Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
Unaenda Wilaya gani na kazi gani unaenda kufanya huko?Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ...
Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host
Nicheki pm.
Unategemea kwa post hii upate mwenyeji? Mtafute mtu anaitwa Ufipa Sumbawanga atakeelekeza.Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ...
Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host
Nicheki pm.
Ndio"Kuna inshu unataka kuja kufanya "
Mmmmhh