KANDUDI RAYMOND
Member
- Aug 29, 2014
- 91
- 3
.Sasa kwa wale wa college za eductn ..2pande gari gani 2kifika!? msaadapoa karibu
sio sheria za nchi.. ila asivunje maadil ya kitz
Mmmmmmh majanga
hasa hasa kwa ile college ya education (walimu) it is forbidden. kabisa
usidanganye umma kwa kitu usicho kifaham college of education jeans zinapigwa kama kawaida!!!
Kusuka rasta napo ni shida dah hpa transfer mapemaaa