Mwenyeki wa serikali ya mtaa anaruhusiwa kisheria?

Mwenyeki wa serikali ya mtaa anaruhusiwa kisheria?

godfrey m

New Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
4
Reaction score
1
kiwanja changu hakijapimwa lakini mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameamua sehemu ya kiwanja change kuwa barabara labda sababu nimechelewa kujenga, naomba ushauri katika hili
 
Huyo mwenyekiti ana matatizo, hilo laweza amuliwa na mahakama tu. Make sure una take a very good care ya kiwanja chako.
 
Maliza utata waambie wakupe kiwanja kingine
 
Back
Top Bottom