G godfrey m New Member Joined Mar 14, 2014 Posts 4 Reaction score 1 Mar 27, 2014 #1 kiwanja changu hakijapimwa lakini mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameamua sehemu ya kiwanja change kuwa barabara labda sababu nimechelewa kujenga, naomba ushauri katika hili
kiwanja changu hakijapimwa lakini mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameamua sehemu ya kiwanja change kuwa barabara labda sababu nimechelewa kujenga, naomba ushauri katika hili
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,678 Mar 28, 2014 #2 Huyo mwenyekiti ana matatizo, hilo laweza amuliwa na mahakama tu. Make sure una take a very good care ya kiwanja chako.
Huyo mwenyekiti ana matatizo, hilo laweza amuliwa na mahakama tu. Make sure una take a very good care ya kiwanja chako.
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,194 Mar 29, 2014 #3 Maliza utata waambie wakupe kiwanja kingine