Mwenyekii wa CCM Njombe: Ongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya.
============
Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa.

Amesema hayo mara baada ya kupokea taarifa ya upanuzi wa kituo cha afya Wanging'ombe ambacho kinatajwa kuwa msaada mkubwa kwa wananchi hao.

Ikumbukwe kuwa leo umefanyika Uzinduzi wa maadhimisho ya sherehe ya kuzaliwa kwa CCM miaka 48 kimkoa.

Your browser is not able to display this video.
 
Upuuzi mtupu majengo bila kuwa na pesa za kulipia gharama inasaidia nini?
Huku Dar Kiongozi anamjibu mwanamke akapasuliwe na mumewe kama hana hela za huduma.

Hawa watu wamechoka mno hata hawaelewi wanafanya mini.
 
Akili za kiccm. Wakishtuka Samia ameshajitangaza kuwa Mgombea pekeee
 
 

Attachments

  • VID-20250126-WA0016.mp4
    23.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…