Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo
Na kwamba hata akipewa kazi serikalini hawezi kukubali.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira aliachana na ACT Wazalendo na kujiunga na CCM kisha kupewa nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Magufuli