PreGE2025 Mwenyekiti ADC: Wapinzani tunaishi Tanzania kama watoto yatima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Ujinga wakufikiria kwamba Siasa ni Ajira..ili linatakiwa kupingwa
 
Hiki chama ni kimoja ya vile vinayotumiwa na Fisiemu kutia matamko ya kupinga kila tamko la Chadema. kana kwamba Chadema ni chama cha upinzani.
Huwa wanashonewa suti na hotel ya kufanyia press, na bila shaka hupewa "chochote"
 
Moja ya chama cha hovyo sana
 
Kaulimbiu ni moja tuu NO REFORMS NO ELECTION.. hatutaki tens malalamiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…