Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu
CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi
Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga:
Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama uchaguzi mkuu utafanyika kwa uhuru na haki basi CHADEMA tunachukua nchi na ndio maana tunasema (No reform no Election)"