“Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.”
“Kamwe hatuwezi kupoteza muda kwa majibizano yasiyo na tija wala vijembe endapo kuna mwana CCM yoyote mwenye uwezo wa kujenga hoja basi anaalikwa katika majukwa ya hoja.”- Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Sharifa Suleiman