Mwenyekiti CCM mkoa wa Kagera afikishwa Baraza la Ardhi la Wilaya kwa kupora ardhi

Nkarahacha

Member
Joined
Oct 3, 2023
Posts
17
Reaction score
38
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi.

Mwenyekiti Karamagi anatuhumiwa kupora heka sita.

Huyu ni mmojawapo wa viongozi aliowahi kuwataja anko Magu kuwa ni wa hovyo sana.

Tazama video ya Mlalamikaji akitoa ufafanuzi

Kwa watu wa kutoka chama hicho hilo siyo suala zito kabisa na Wala siyo jambo geni, ni jambo la kawaida kabisa.
Nothing new
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi.

Mwenyekiti Karamagi anatuhumiwa kupora heka sita.

Huyu ni mmojawapo wa viongozi aliowahi kuwataja anko Magu kuwa ni wa hovyo sana.

Tazama video ya Mlalamikaji akitoa ufafanuzi
Kama ni kweli zitakuwa ni Tamaa za kupitiliza sana!
 
Mawaziri 5 wahusishwa na kashfa ya mikataba mibovu​

1. Daniel Yona,
2. Maokola Majogo,
3. marehemu Abdallah Kigoda
4. Nazir Karamagi
5. William Ngeleja

Kashfa mpya inayo wahusisha mawaziri watano wazamani imeibuka katika ripoti ya moja ya kamati mbili maalum za Bunge la Tanzania, zilizoundwa kuchunguza masuala ya mikataba mibovu inayodaiwa kuwa imeisababishia hasara serikali.
Ripoti hiyo imewataja Daniel Yona, Maokola Majogo, marehemu Abdallah Kigoda, Nazir Karamagi na William Ngeleja ambao wote kwa vipindi tofauti waliwahi kutumikia iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini.
Wakati kamati hizo zilizoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, zikiwasilisha ripoti hiyo majina ya mawaziri hao yaliwekwa bayana.
Wachambuzi nchini Tanzania wamesema kuwa kutajwa kwa Ngeleja, Yona na Karamagi, ni katika mtiririko wa kashfa zilizoelekezwa dhidi ya mawaziri hao.
Ngeleja ambaye pia ni Mbunge wa Sengerema kupitia CCM, ni mara ya tatu kutajwa kuhusiana na kashfa.
Mara ya kwanza alihusishwa na ufisadi wa fedha za Escrow, akinufanika na mgawo wa sh milioni 40.4 ambazo baadae alizirudisha.
Alitajwa pia katika ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza mfumo wa uchimbaji, udhibiti, usimamizi na umiliki wa madini ya almasi na Tanzanite, akidaiwa kuhusika na dosari zilizoisababisha nchi kupoteza fedha nyingi.
Yona ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini wakati wa utawala wa awamu ya tatu, amekuwa akinyoshewa kidole kwa kashfa mbalimbali, ikiwamo ya ufisadi wa matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
Aliwahi kudaiwa kuuza kinyemela sehemu yenye utajiri mkubwa wa makaa ya mawe, Kiwira kwa Kampuni ya Tan – Power Resources (TPR).
 
Katiba mpya,mtu ana kashfa Bado mnampa uenyekiti! Kagera vipi?
 
Ccm wananinyonga wenyewe kuanzisha shule za kata,Watu huko wamefunguka na wamesoma hadi vyuo vikuu,wameelimika na kuchambua Mambo hata kusaidia wazazi wao wanapoonewa.
Kwani huko kwenye hilo kusanyiko lao nani ni msafi?
Je, hujui kwamba hicho kikundi Chao ni kimbilio la Waovu na wahalifu ili walindwe na kufichiwa Siri juu ya uovu wao???CM
 
Kuna yule aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, wananchi walimalizana naye kienyeji ili mambo yasiwe mengi.
Wengi wanakimbilia madaraka ili wapore ardhi za wananchi.
Hawa ni kumalizana nao kwa hasira kali vinginevyo hakuna haki itapatikana.
 
Back
Top Bottom