sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Wakati namwona Mh. Mbowe kule Songwe na Mbeya, namwona Mdude Nyagali Ileje hatua mbili uingie Malawi na mbili uingie Zambia, namwona Tundu Lissu Mara Mwanza na KESHO Ikungi kwao
Namwona Zitto Zuber Kabwe kwao Kigoma huku akishiriki Dua na kuendelea na kampeni. Naliona Mwenyekiti CCM hana tabu ndio kwanza anatunukiwa PhD ya HESHIMA!
Je, yeye hafanyi kampeni hata Moja? Hawahitaji hawa viongozi wa chini? Kongole CCM.