Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Rukwa ampongeza Mbunge Aesh Hilaly kwa Usikivu na Kujali Wananchi

Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Rukwa ampongeza Mbunge Aesh Hilaly kwa Usikivu na Kujali Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa CHama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa Bi. Silafu Jumbe Maufi amemtaja Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly kuwa Mbunge Msikivu na anayewajali wananchi waliompa dhamana ya kuwaongoza.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

"Nilimuomba atoe mabeseni 100 katika Kituo cha Afya cha Mazwi lakini yeye amejiongeza na kusema atatoa Mabeseni 100 kwa kila kituo cha afya"

Mabeseni 100 kwa bei ya jumla ni hela ya kawaida sana,mwenzake Msukuma kule jimboni kwake katoa AMBULANCE kila kata.
Hapo mjini Rainer Lukarah agombee,mpate mbunge makini,huyo apumzike.Fitna ziwekwe pembeni.
 
Rainer ni raia kweli?
 
Rainer ni raia kweli?
Yeah! ni raia kabisa,angekua siyo raia,angekua alishadakwa.D.Rainer ni raia,tena raia mwema sana.
Fitna za siasa ndizo zinafanya asitumike ipasavyo.
 
Back
Top Bottom