Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho amewataka baadhi ya viongozi kutowaondoa Madarakani Mabalozi kipindi hiki Cha uchaguzi Kwa madai ya kutokuwaunga mkono madiwani na wabunge au watia nia ambao wako karibu na viongozi wa kata
Amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa jimbo la Madaba lililopo Wilaya ya Songea ambapo amewataka viongozi kufuata taratibu na sheria za chama za kuwaondoa viongozi hao na sio sababu ya kutokuungwa mkono.