Mwenyekiti CCM Singida Umekosea

Mwenyekiti CCM Singida Umekosea

Bado Hujasema

Member
Joined
Dec 1, 2024
Posts
12
Reaction score
14
Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa.

Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya wakati huo Ummy Mwalimu akajitokeza na kusema Rais alikuwa anatania.

Sasa huyu mama lengo lake ni nini? Ikiwa serikali inapambana kuelimisha juu ya uzazi wa mpango kwa ajili pia ya kuboresha afya ya mama yeye kwa cheo chake anawaambia wanawake wenzie wazae hadi kumi na moja.

 
Magufuli mnayemaifia kila siku alisema hayo hayo, shida iko wapi sasa vijana wa shujaa?
 
Back
Top Bottom