LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Geita: Watendaji mnasema mnatishwa, timizeni wajibu wenu hakuna atakayetishwa

LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Geita: Watendaji mnasema mnatishwa, timizeni wajibu wenu hakuna atakayetishwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo yanazidi kuwa moto huko, patashika nguo kuchanika ikiwa ni siku ya pili ya kampenzi za uchaguzi serikali za mitaa.

=====


Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Chama cha Demokrsia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Geita Mjini kimesema hakiko tayari kuwaona baadhi ya Watendaji wa Kata na Mitaa wanashindwa kufuata sheria na taratibu za uchaguzi hasa katika Maeneo ambayo Viongozi wao wanatuhumiwa kuenguliwa kugombea kabla ya kurudishwa.

Hayo yameelezwa Mjini Geita na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Geita Mjini Bi. Pasquina Lucas wakati akinadi Viongozi mbalimbali wanaongombea nafasi za Uenyekiti katika Jimbo la Geita Mjini huku akisema atakaeshindwa kutekeleza wajibu wake sheria itafuata mkondo wake.
 
Back
Top Bottom