Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Ilala: Mbowe atoe tamko kukemea wapambe wake wanaomtukana na kumtishia Tundu Lissu

Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Ilala: Mbowe atoe tamko kukemea wapambe wake wanaomtukana na kumtishia Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mara baada ya CHADEMA Shinyanga na Mwanza kuonesha kwamba wanamuunga mkono Tundu Lissu, CHADEMA Ilala nao wameonekana kutoa tamko.

Mnaweza kuwatukana CHADEMA kuwa kina mgawanyiko lakini hii ndo aina ya demokrasia inavyotakiwa kuwa

Mambo kama haya huwezi kuyakuta CCM ambapo Mwenyekiti anachukuliwa kama Mfalme au Malkia


======================================

Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.

 
Back
Top Bottom