Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni role model, asiogope mtu yeyote hata we nje ya nchi

Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni role model, asiogope mtu yeyote hata we nje ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

William Mungai mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amempamba Mbowe na kukubujisha wahudhuriaki kwa machozi kuwa Mbowe ni role model kwa wengi.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Na hii ni kutokana na kuwainspaya kutokana na kubalance maisha yake na huku anajitoa kwenye siasa, kuwa thabiti na yuko tayari hata kufa kwaajili yao, hao wengine kumfikia bado saaana :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:

Nyieeeee:KEKLaugh::KEKLaugh: Mungai amemwambia Mbowe asiogope yoyote hata ambao wako nje ya nchi, asonge mbele wako nyuma yao. Kijembe hiki kwa anko Lissu.



 
Atakachosema Sugu ndio atakachosema Mungai...

Alipo Sugu na Mungai humkosi ..

Hakuna maajabu hapo..


Go TL
 
We mungai acha ujinga wako. Wengine sie tunakufahamu vizuri. Tunajua mnanufaika vp mbowe kuwa madarakani. We mwenyewe tunajua ipo siku utarejea CCM.
 
Back
Top Bottom