K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,250 Reaction score 5,509 Jan 12, 2020 #21 mkaruka ataja rinu said: Vipi hakugusia Twiga wetu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Siku akizungumzia alipokuwa anawapeleka Twiga na maliasili nyingine ndio siku natangaza rasmi kuachana na CCM
mkaruka ataja rinu said: Vipi hakugusia Twiga wetu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Siku akizungumzia alipokuwa anawapeleka Twiga na maliasili nyingine ndio siku natangaza rasmi kuachana na CCM
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,638 Jan 12, 2020 #22 huyu jamaa nilijua huko marekani alikua anafanya kazi ya maana,kumbe alikua bank teller tu..
M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 3,562 Reaction score 2,493 Jan 13, 2020 #23 Erythrocyte said: Twiga wa Burigi ? Click to expand... Wa Burigi wapo, tunataka wale alokuwa anawapandisha ndege na kuwatorosha
Erythrocyte said: Twiga wa Burigi ? Click to expand... Wa Burigi wapo, tunataka wale alokuwa anawapandisha ndege na kuwatorosha
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Jan 13, 2020 #24 tang'ana said: huyu jamaa nilijua huko marekani alikua anafanya kazi ya maana,kumbe alikua bank teller tu.. Click to expand... Wewe kwa umri wake ulikua una kazi gan ya maana!?
tang'ana said: huyu jamaa nilijua huko marekani alikua anafanya kazi ya maana,kumbe alikua bank teller tu.. Click to expand... Wewe kwa umri wake ulikua una kazi gan ya maana!?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 13, 2020 #25 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa hizi aiseee eti nyarandu kawa kamanda na watu wanamtetea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa hizi aiseee eti nyarandu kawa kamanda na watu wanamtetea