GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kusini, Aden Mayala atimkia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Aden Mayala amekihama chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Oktoba 22, 2025 wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika viwanja vya Kecha Ilala Jijini Dar es Salaam

​
 
No issue kashafika bei huyo
 
Nimependa hotuba ya msigwa, hakuitajataja chadema vibaya wala viongozi wake kama anavyofanya poyoyo wenje. Msigwa kajikita kwenye kampeni tu bila kuisiliba chadema
 
Habari ya leo ni Je 29.10.2025 tunatoka ama hatutoki.
Tupo kitaifa zaidi... haya ma vyama wajinga mbona ni wengi tu.
 
Hivi mjuba Mbowe naye atatimkia CCM lini, au yeye atatimkia CHAUMMA? Popote atakapotimkia huko akawe muungwana, asiiseme CHADEMA vibaya ataonekana akili haziko sawa.
 
Nimependa hotuba ya msigwa, hakuitajataja chadema vibaya wala viongozi wake kama anavyofanya poyoyo wenje. Msigwa kajikita kwenye kampeni tu bila kuisiliba chadema
Msigwa anamkubali Lissu na anaipenda Chadema
 
Msigwa anamkubali Lissu na anaipenda Chadema
msigwa aendelee na moyo huo, huo ndio ukomavu wa kisiasa na ataaminiwa na watu, isije akala matapishi yake kama wenje anavyokula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…