Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Njombe, Tanzania

CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa.

Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na shughuli za vyama vya siasa ilikuwa imezuiwa kinyume na katiba ya nchi wakati wa utawala wa John Magufuli.

Sasa 2024 baada ya kumuamini tena kamanda Rose Mayemba kuendelea kwa miaka mitano mingine, CHADEMA itazidi kusonga mbele kusimama kwa niaba ya wananchi wa Njombe bila kujali vyama.

Toka maktaba:
11 March 2024
Rose Mayemba alipokutana na DC mheshimiwa Kissa, kufuatia risiti ambazo wananchi walipeleka malalamiko CHADEMA ili kwa niaba yao waanchi waieleze serikali madudu ya Halmashauri
 
Mayemba tena , huyu ni kamanda Halisi yaani ! Jiwe na ukatili wake hapa aligwaya .

Safi sana Njombe
 
Back
Top Bottom