LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257


Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.

 
Mmeshiriki hizi chaguzi mlitegemea nini! Tokea mwanzo watu walijua kuna madudu yatafanyika

Ova
 
Nashauri CHADEMA wakusanye USHAHIDI na kukimbilia Mahakamani..la sivyo
 
Back
Top Bottom