KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 127
- 245
JPM alisingiziwa mabaya mengi sanaShetani hajawahi kumshinda Mungu
Asante Mungu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako alikwenda kusikiliza shauri lililokuwa linamkabili Mahakamani hapo.
Kwa mujibu wa Wakili wake, Alex Masaba ni kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA, amekamatwa mara baada ya Upande wa Mashtaka kuondoa shauri mahakamani hapo ambalo lilikuwa linamkabili mwenyekiti huyo na kuachiwa huru.
Wakili Alex amesema mara baada ya Mahakama kumwachia huru, Askari walifika ndani ya ukumbi wa Mahakama kisha kumkamata tena na kumpeleka Kituo cha Polisi Bariadi.
"Mpaka Sasa hatujajua kwa Nini wamemkamata au wanataka kumfungulia kesi gani nyingine, tunasubiria tuone, lakini amekamatwa mara baada ya Upande wa Mashtaka kuondoa shauri mahakamani na Hakimu kumwachia huru," amesema Alex.
Kwa mujibu wa Wakili Alex, ameeleza Mwenyekiti huyo alikuwa anakabiliwa na kosa kukutwa na nyaraka ambazo kisheria hapaswi kuwa nazo, Nyaraka ambazo ni karatasi za kupigia kura na leo Aprili 14, 2025 ilikuwa ni kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za awali, lakini upande wa Mashtaka ukasema hauna nia ya kuendelea na kesi ndipo Hakimu naye akamuachia huru Onesmo.
=======================
AACHIWA KWA DHAMANA
JamiiForums imewasiliana na Wakili Alex Masaba kuhusu suala hilo amesema mara baada ya kufikishwa Polisi, Onesmo hajaulizwa chochote zaidi ya kupewa masharti ya dhamana, ambapo amedhaminiwa kisha wakamuachia na kumtaka kurejea Jumatatu ijayo Aprili 21, 2025.
Mwasisi wa mabaya yote haya ni JPM na ndiyo Legacy kubwa aliyoiachia Tanzania.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Ccm ni walewale tuJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Itafika 2050 bado mtasema hv hvMwasisi wa mabaya yote haya ni JPM na ndiyo Legacy kubwa aliyoiachia Tanzania.
💐💐💐💐💐💐👈CCM dawa yao ni kwenda nao mpera mpera, ustaarabu na hawa jamaa ni kupoteza muda.
Mbwa hawana kazi zaidi ya kuidhibiti chadema
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako alikwenda kusikiliza shauri lililokuwa linamkabili Mahakamani hapo.
Kwa mujibu wa Wakili wake, Alex Masaba ni kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA, amekamatwa mara baada ya Upande wa Mashtaka kuondoa shauri mahakamani hapo ambalo lilikuwa linamkabili mwenyekiti huyo na kuachiwa huru.
Wakili Alex amesema mara baada ya Mahakama kumwachia huru, Askari walifika ndani ya ukumbi wa Mahakama kisha kumkamata tena na kumpeleka Kituo cha Polisi Bariadi.
"Mpaka Sasa hatujajua kwa Nini wamemkamata au wanataka kumfungulia kesi gani nyingine, tunasubiria tuone, lakini amekamatwa mara baada ya Upande wa Mashtaka kuondoa shauri mahakamani na Hakimu kumwachia huru," amesema Alex.
Kwa mujibu wa Wakili Alex, ameeleza Mwenyekiti huyo alikuwa anakabiliwa na kosa kukutwa na nyaraka ambazo kisheria hapaswi kuwa nazo, Nyaraka ambazo ni karatasi za kupigia kura na leo Aprili 14, 2025 ilikuwa ni kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za awali, lakini upande wa Mashtaka ukasema hauna nia ya kuendelea na kesi ndipo Hakimu naye akamuachia huru Onesmo.
=======================
AACHIWA KWA DHAMANA
JamiiForums imewasiliana na Wakili Alex Masaba kuhusu suala hilo amesema mara baada ya kufikishwa Polisi, Onesmo hajaulizwa chochote zaidi ya kupewa masharti ya dhamana, ambapo amedhaminiwa kisha wakamuachia na kumtaka kurejea Jumatatu ijayo Aprili 21, 2025.
Hao policcm wanataka kuigeuza Tz kuwa kama MsumbijiMwenyekiti CHADEMA - Simiyu akamatwa na Askari baada ya kuachiwa huru Mahakamani
Nyerere bado anaimbwa kwa kuleta uhuru Tanzania na ni zaidi ya miaka sitini,pia Magufuri ataimbwa kwa kuleta ukoloni Tanzanzania zaidi ya miaka mia ijayo.Itafika 2050 bado mtasema hv hv
Wanaona burdan kuwa kamata wenzio
Ova