Huku mnaimba khs JPM na bado mtakuwa mnaendelea kula dozi kama ilivyo sasaNyerere bado anaimbwa kwa kuleta uhuru Tanzania na ni zaidi ya miaka sitini,pia Magufuri ataimbwa kwa kuleta ukoloni Tanzanzania zaidi ya miaka mia ijayo.
Hamna shida mkuu tulishaamuwa kuwa kondoo.Huku mnaimba khs JPM na bado mtakuwa mnaendelea kula dozi kama ilivyo sasa
Ndiye muasisi au perpetrator wa huu ujinga unaoendelea sasa hivi nchini!JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Itafika 2050 bado mtasema hv hvNdiye muasisi au perpetrator wa huu ujinga unaoendelea sasa hivi nchini!
Hakuamini katika nguvu ya hoja Ila matumizi ya vyombo vya Dola Ili kubakia madarakani!
Hata ujumbe wake ulisomeka vyema tu nikupe Mshahara na nyumba umtangaze mpinzani?
Huu ni ujumbe Kwa key actors chini yake!
Hakuna namna unaweza kumtenganisha na huu uchafu!
Hakuna Mpare mjinga kama wewe!Itafika 2050 bado mtasema hv hv
Inasikitisha sana mkuu 😂Hakuna Mpare mjinga kama wewe!
Hii Ndio tume huru ya uchaguzi ya Tanzania isome halafu ukenue meno kama uko kwenye vile vichuguu kule Mbaga au kilomeni useme hii ni Tume huruInasikitisha sana mkuu 😂
Sina huo muda wa kusoma, ila nimesikitika sanaHii Ndio tume huru ya uchaguzi ya Tanzania isome halafu ukenue meno kama uko kwenye vile vichuguu kule Mbaga au kilomeni useme hii ni Tume huru