Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea wengine dhidi ya Boniface Jacob

Pamba.jpg
 
Ungwe hii ya mwisho kuna wimbi kubwa la wanachadema watahamia kwa eisitii wazalendo, akiwepo aliyekuwa mbunge wa kawe.

Habari za ndani kabisa zinatanabaisha...

Wasepe wooote nitabaki mwenyewe kamwe siwezi enda kijani wala zambarau.
 
Da hii Ni hatari sasa Kuna shida ya uongozi hapa so bure
 
Bora angehamia tlp mbona huko kapotea kabisa. Act ina udini fulani watu hawajajua tuu
Udini upi kiongozi ambao haujawahi zungumzwa chama chochote kile, CDM mlituambiaga ya wakristo, CUF ya waislam na hata waislam wanadai Serikali niyakimfumo kristo kwahio suala la udini kama lipo basi likemee, kama anavyolikemea shekhe Ponda na wengine mnaouona udini mtoke nje mkemew ,taasisi zote za uma ziachane na udini.
 
Lakini haina shida, Shida inaanzia pale tumbo linapodai Milo mitatu Kwa siku hapo hujazungumzia vitu visivyo kwenye ratiba ya msosi Kwa siku
 
Huyu si nilisikia kazi yake ilikuwa kuwala mademu sijui na upuuzi gani.Na hajafanya lolote huko Sinza.Kajua hata kwenye udiwani arudi ndio kala kona
 
Aache visingizio huyu angeingia uwanjani na kupambana, mbona hakukuwa na upendeleo alipoteuliwa kugombea udiwani 2015??. Au anadhani nafasi zipo kumsubiri yeye
 
Back
Top Bottom