jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Udini upi kiongozi ambao haujawahi zungumzwa chama chochote kile, CDM mlituambiaga ya wakristo, CUF ya waislam na hata waislam wanadai Serikali niyakimfumo kristo kwahio suala la udini kama lipo basi likemee, kama anavyolikemea shekhe Ponda na wengine mnaouona udini mtoke nje mkemew ,taasisi zote za uma ziachane na udini.Bora angehamia tlp mbona huko kapotea kabisa. Act ina udini fulani watu hawajajua tuu
Sasa nani mwenye shida?Da hii Ni hatari sasa Kuna shida ya uongozi hapa so bure