Pre GE2025 Mwenyekiti CHAUMMA apandisha sukari baada ya kuulizwa kuhusu ukomo wa madaraka, amtaka Charles William agombee Uenyekiti

Pre GE2025 Mwenyekiti CHAUMMA apandisha sukari baada ya kuulizwa kuhusu ukomo wa madaraka, amtaka Charles William agombee Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani

Soma pia: CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao

"Chama tumekiasisi, tumekiweka pale. Kama kuna mtu anaona anafaa aje achukue fomu. Wewe mbona hauji kwenye chama hiki ukagombea. Wewe nakuomba uje kwenye hiki chama wakati wa kugombea. Ugombee. Mbona huji unakaa tu kuja kutuuliza, unauliza vipi sasa?"


 
hilo suala la kuwa mtu akishakaa sana uondoke ni hoja ya kitoto kabisa, Ikiwa wanachama wake wamemchoka wamuondoshe kwa kura kwenye chaguzi, Sasa kung'an'gania aondoke kwa lazima huu ushamba sijui tumetoa wapi.
 
Huyu ndio gwiji wa interview, acha yule mjaluo wa Kenya anayefanya kazi StarTv
 
Back
Top Bottom