Pale kwenye njoo ugombee wwsukari kupanda naona wapi
Hivi huwa kuna siri gani kwenye Uenyekiti kila mtu anataka hata kama chama hakina mapato?Mbowe alitaka afikishe Chadema hapo
Hata ofisi tu yenyewe hanaSijui hata Chama chake kina wanachama wangapi! Kama siyo yeye na familia yake.
πππNimegundua huyu ndo babaake Wajakoya wa kenya
Kiliweka wagombea wa serikali za Mitaa sijui kilipata wangapi!Sijui hata Chama chake kina wanachama wangapi! Kama siyo yeye na familia yake.