Mwenyekiti Freeman Mbowe kuachia tu uenyekiti haitoshi anapashwa kukamatwa, kuchunguzwa na kufikishwa mahakamani ili arejeshe fedha zote za CHADEMA

Hapo haiwezekani, umeenda mbali sana, kuachia tu uenyekiti ni shughuli pevu
 
Mbowe wala hata waachia Chadema wanaharakati ili waiue, bora wao waondoke waiache Chadema salama.
 
CAG anakagua accepted accounting standards.

Mbowe hawezi kuwa mpuuzi wa kuingiza hela kwenye account yake binafsi.

Lissu ni mtu wa kukurupuka.

Ni bora angesema Mbowe ana control account ya chama.
Ni wapi Lissu amesema hivyo au na wewe unakurupuka na maneno ya wajinga humu ndani.
 
Tangu lini mwenyekiti wa CHADEMA akawa na kinga ya kutokamatwa na kushitakiwa anapofanya makosa?mbona kwenye kesi ya ugaidi wa mchongo mulimkamata na kumuweka mahabusu bila kujali kuwa ni mwenyekiti?.
 
We ni punguani na hujui taratibu za matumizi ya fedha za umma zinazopelekwa kwenye vyama hasa upinzani.

Huwezi kuamka unamuacha mumeo kitandani unaenda nje unaandika huu utumbo hapa
 
Mbowe atagombea tu
 
Hivi Chadema Mweka Hazina ni Mbowe?

Je Report ya Mapato na Matumizi ya kila mwaka hayosomwi wala kuulizwa na wajumbe kila mkutano mkuu kwa miaka 20?

Hivi kazi ya umakamu Mwenyekiti wa Chadema ni kupiga usingizi?

Chama kina Secretariet,kina wadhamini,kina bodi ya Wakurugenzi hawakuyaona hayo kwa miaka 20?

Pammoja na hayo kuna ukaguzi wa taasisi ya serikali tena wakaguzi tofauti tofauti,report inasemaje kwa kipindi cha miaka hiyo 20?

Je wafadhili wa chama wanasemaje?

Hii ni kesi ya Plato vis Republic simply Plato amewaambia dunia ni sphere sio meza?Mnamuhukumu kifo kwa kumywesha sumu.
Au kwa wema wake Basanio kuwapa mahitaji wasiojiweza mmemgeuka kuwa Shailok kudai ratili ya nyama karibu na moyo wake ili afie mbali.
Chadema imekuwepo na itazidi kuwepo bila watunisha misuli wala kangaroo court.
 
Ccm hawajapiga kelele kwani wao wanakula pamoja. Huku kwetu wanakula wao tu. Halafu wanaanza makelele. Halafu tofauti ipo sisi tunachanga wao wanachota. Kamakweli mbowe kala hela basi hata huyu kala.
 
Mkuu mahesabu ya mkaguzi mkuu wa serikali hayajawahi kubainisha hilo.
 
Za ndani zinasema mbowe kasema kama tundu lisu atakuwa mwenyekiti CHADEMA watafute ofisi lile jengo mikocheni ni Mali yake na magari yote ni Mali yake haaa haaa
🀣 🀣 🀣
 
Bure kabisa! Hakuna logic yoyote hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…