Mwenyekiti Freeman Mbowe kuachia tu uenyekiti haitoshi anapashwa kukamatwa, kuchunguzwa na kufikishwa mahakamani ili arejeshe fedha zote za CHADEMA

Kwa Namna mamlaka inatafuta mbinu za kuiangamiza Chadema, Mbowe angekuwa na hayo makando kando uliyoandika hapo msajili na ofisi nzima wangehamia ofisi za chadema.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ™
 
Huo mtego ambao chama kikuu hakiw3zi kufanya. Na kama wamaweza atokee ntu kama list aseme na yeye anagombea
 
Write your reply...MDAUKIFIKA TUTAJUWA TU KWANI WANASEMA PENYE RIZIKI HAPAKOSI FITINA. NAOWANATAKA KULA NA SIYO KURA.
 
Ila jamaa kawapiga sana CHADEMA ndio maana alimwambia Mzee Sumaye sumu haionjwi kwa ulimi, Ila kwa mapato haya hata Mimi nakumaliza tu aisee
Nimecheka kwa sautiπŸ˜†
 
Ni sahihi kabisa
 
Hakuna ushahidi ....hivyo ni porojo kama porojo nyingina tu......kwenye kipindi hiki cha kampeni πŸ˜€ πŸ˜€
 
Asamehewe kwa Ustawi wa Chama
 
Kufaidika au kutokufaidika kama michango mingi ni kutoka kwa watu/taasisi zisizotaka kufahamika itabakia kuwa kidendawili and the norm is everyone is innocent until proven guilty, hatuwezi kimuhukumu kwa sababu we're just driven na hisia.As for thisπŸ‘‡ inawahusu wote, baada ya madhila ya kumiminiwa risasi anachozidi kung'ang'ania ni kipi na kwa faida gani? If it's fighting for what is right or personal grains nobody knows and it's giving the benefit of the doubt then it's gotta be fair for everyone.πŸ‘‡
 
Lissu,kaharibu kuwachafua wenzake na kutoa matamshi mabaya dhidi yao.
Hili inaondoa utayari wa watu kuachia madaraka, kwa kuhofia hatma zao.
Uchaguzi wenyewe ni ndani ya chama, kwa nini kuchafuana hivi?
Hii, inapelekea hata upinzani TZ ukawie kushika madaraka.

In common sense,mtu anatamka;
"Tukiingia madarakani tutawafunga na kuwashughulikia CCM kwa......."
Mtu anakusakama na kukusimanga ilihali hana madaraka,vipi akiyapata?
Je,nani yuko tayari kuachia madaraka kizembe, ili aje kuteswa na kusimangwa?
 
Hiii hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…