Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Duh! Kumbe ukimuacha Mbowe wengine wote wa kuja Chadema? Lissu, Lema, Msigwa, Lwakatare, Komu, Selasini, Kubenea, Nyalandu, Marando, Prof. Baregu nk. Ndio maana haachi uwenyekiti? Hapo sasa naelewa!!!
Jamaa nasikia ni mgonjwa ila sijajua kama cdm inamkumbuka kweli.
Cc Imhotep.
hauoni aibu kuongea ujinga?Ngoja kinuke mkuje hapa na story zenu za usalama... Ngoja awatafune muishe kabisa tutamtaftia pakwenda
Mwaka wa tatu au nne, jamaa yupo ndani tuKama ni hivyo pole yake sn huyu nguli
Misukule unadhani Ina ufahamu Basi wa kuelewa ulichoandikaHii mentality ya kuamini kwamba mtu akiwa na siasa za kistaarabu na zenye kutanguliza maslahi ya Taifa anasingiziwa kuwa ni CCM siyo sawa kabisa
Siasa za harakati na uchonganishi wa Taifa letu dhidi Mataifa makubwa hazitatusaidia
NCCR Mageuzi ikirejea kuwa kiongozi wa Mageuzi nchi yetu itafaidika zaidi kuliko ilivyo sasa
Ndoto za alinachaChadema haiwezi kuuwawa kwa mbinu za kijinga hivyo hata mkipiga marufuku vyama vingi leo itakuwa ni pause ya muda mfupi tu
Hatimae peoples power itaingia hadi Ikulu
[emoji1787][emoji23][emoji2960]
Sacco's ya DJ makengeza na baba mkweDuh! Kumbe ukimuacha Mbowe wengine wote wa kuja Chadema? Lissu, Lema, Msigwa, Lwakatare, Komu, Selasini, Kubenea, Nyalandu, Marando, Prof. Baregu nk. Ndio maana haachi uwenyekiti? Hapo sasa naelewa!!!
kumbe una ID nyingi mara marry ngowi ukiwa muongo uwe na kumbukumbuSitakujibu
Mkuu hivi ni kweli Lissu alipigwa risasi?Hii mentality ya kuamini kwamba mtu akiwa na siasa za kistaarabu na zenye kutanguliza maslahi ya Taifa anasingiziwa kuwa ni CCM siyo sawa kabisa
Siasa za harakati na uchonganishi wa Taifa letu dhidi Mataifa makubwa hazitatusaidia
NCCR Mageuzi ikirejea kuwa kiongozi wa Mageuzi nchi yetu itafaidika zaidi kuliko ilivyo sasa
PumbavuMabere akitaka akae akitaka aende yote sawa tu Chadema kiko imara sana mwaka huu bila ujambazi wa ccm basi Raisi shujaa ambaye hawezi kulikimbia Taifa kipindi cha Corona Tundu Antipass Lissu ataapishwa
Mtaikimbia NchiNdoto za alinacha
Tukana tu si unathibitisha usukule wako tu
Yu wapi Saddam Hussein, Yu wapi Mubarak, Yu wapi Gaddafi,.Ndoto za alinacha