Into the badland
Member
- Apr 4, 2020
- 15
- 15
Du pole sanaHii mentality ya kuamini kwamba mtu akiwa na siasa za kistaarabu na zenye kutanguliza maslahi ya Taifa anasingiziwa kuwa ni CCM siyo sawa kabisa
Siasa za harakati na uchonganishi wa Taifa letu dhidi Mataifa makubwa hazitatusaidia
NCCR Mageuzi ikirejea kuwa kiongozi wa Mageuzi nchi yetu itafaidika zaidi kuliko ilivyo sasa
Kwani kuna nchi Duniani ilikuwa na maandalizi wa maabara kwa ajili ya corona?Ccm IPI? hii ambayo ina maabara moja ya korona nchi nzima??
Umekumbuka sera ya chama chenu!!
Miezi minne bado mnajiumauma, mbona bunduki na magari ya washawasha mnanunua faster ukikaribia uchaguziKwani kuna nchi Duniani ilikuwa na maandalizi wa maabara kwa ajili ya corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uchaguzi unakuja kwa dharula!!Miezi minne bado mnajiumauma, mbona bunduki na magari ya washawasha mnanunua faster ukikaribia uchaguzi
NotedMabere Nyaucho Marando ndiye Mwanachama mwenye kadi namba moja ya NCCR Mageuzi,alizaliwa takribani miaka Sabini iliyopita huko Mkoani Mara
Nguli huyu wa sheria ni miongoni mwa waasisi wa siasa za mageuzi hapa nchini akiwa na wenzako akina Bagenda, Ole Sirikwa,Komu, n.k
Huyu Mbabe wa siasa za upinzani alihamia chadema akawa kiongozi kule baada ya kuvurugana kwenye NCCR Mageuzi,Mwanasiasa huyu hajaonekana hadharani kwa muda mrefu, yuko wapi ?
Mhe. Mbatia kuna dalili kuwa nyumbani kumenoga msaidie nguli huyu arejee apewe heshima yake kama akina Emmanuel Ole Sirikwa na wengine
NCCR Mageuzi kumenoga