Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,065 Reaction score 18,358 Jul 2, 2017 #1 Mwenyekiti huyo Revocatus kuuli amesitisha uchaguzi huo kutokana na kile alichokiita kuwa haoni sababu ya majina mengine kuenguliwa bila sababu ya msingi!
Mwenyekiti huyo Revocatus kuuli amesitisha uchaguzi huo kutokana na kile alichokiita kuwa haoni sababu ya majina mengine kuenguliwa bila sababu ya msingi!
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,518 Jul 2, 2017 #2 Huu uchaguzi unanza kuota mbawa
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,065 Reaction score 18,358 Jul 2, 2017 Thread starter #3 KWEZISHO said: Huu uchaguzi unanza kuota mbawa Click to expand... Hawa inaonekana ndio wafuasi wa malinzi
KWEZISHO said: Huu uchaguzi unanza kuota mbawa Click to expand... Hawa inaonekana ndio wafuasi wa malinzi
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,518 Jul 2, 2017 #4 Ngushi said: Hawa inaonekana ndio wafuasi wa malinzi Click to expand... Yaani hawa wamejipanga na mwisho wa siku huyo jamaa atakuja kuongoza hiyo tifuatifua
Ngushi said: Hawa inaonekana ndio wafuasi wa malinzi Click to expand... Yaani hawa wamejipanga na mwisho wa siku huyo jamaa atakuja kuongoza hiyo tifuatifua