IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Mh waziri ndie anaestahili wengine walitakiwa kuwa wajumbe tu..
Kila kitu makonda yeye ni nani? Nashangaa kamati yote imejaa mashabiki tu wasema hovyo na watu wa skendo.
Ushindi wa Taifa stars haupatikani kwa kuwasema hovyo.
Uganda,kumbuka ile ni nchi wanabalozi hapa,kuna watu km manara ni waropokaji...mtajenga mpira huku unabomoa mahusiano ya kisiasa na uganga.
Sent using Jamii Forums mobile app