Mwenyekiti kamati ya ushindi taifa stars hakutakiwa kuwa makonda

Mkuu kwani hufahamu jamaa ndio mwenyekiti wa michezo,burudani na sanaa mjini hiyo ndio kazi anayoiweza mr.kiki.
 
Chini ya makonda, Uganda Cranes wakiifunga Taifa Stars basi wachezaji wote wa Uganda watatekwa na majasusi "wasiojulikana"
 
Mpira umetushinda mpaka kamati ya kuhamasisha Timu ishinde mnasema huyu anafaa huyu hafai sio kweli kwenye hilo nakupinga Makonda anafaa na pia kuhamasisha sio vyeo mtu yeyote mwenye mapenzi na soka anaweza kuchaguliwa ili mradi awe na ushawishi mkubwa tuu...
 
INAONEKANA JAMII INAMCHUKIA SANA HUYU KIJANA AISEE, SIO KWA KUPINGWA KIASI HIKI. HUYU JAMAA KAFANYA NINI MPAKA MUMCHUKIE KIASI HICHI
 
Madhara yake tumeanza kuyaona.
Text time, Jokate atafute venue huko huko mkoani Pwani huyu Bashite asitie mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…