Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na hakukuwa na shida yoyote.
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kwa wenyeviti wateule 106 wa Manispaa ya Kinondoni na wajumbe 530, Jovin ameahidi kuwatumikia kwa dhati wananchi wa mtaa wake wa Kijitonyama.
Wenyeviti wa mitaa hao na wajumbe wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni, mbele ya Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye pia ni Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Hanifa Hamza.
PIA SOMA
- LGE2024 - Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 wa kata 20 za Kinondoni waapishwa