MWENYEKITI CHADEMA MBEYA DC AWAKUMBUSHA WANAKYELA JINI MAGUFULI ALIVYODHIHIRISHA KUWA CCM IMEKUFA
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mbeya vijijini Getruda Japhet Lengesela
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kyela, Mbeya.
John Pombe Magufuli alidhihirisha CCM ilikufa kitambo, leo tunasimama jukwaa kuna watu walipita bila kupingwa huu ni mfano tosha kuwa CCM ilikuwa haipo hivyo ika force kuingia madarakani kwa kuvuruga uchaguzi kwani CCM ilikuwa imebaki ruhani....