GTs,
Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania.
Nina wazo;
Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao polisi walioletwa Dar kuja kutoa kipigo kwa waandamanaji nina amini hawajalipwa posho.
Ushauri ianzishwe harambe ili kila polisi alipwe posho ya siku tatu yaani 450,000 kwa ajili ya kulinda maandamano. Sababu kuu najua hao polisi watalipwa hata 30,000 kwa siku kitu ambacho ni unyanyaaaji nao wameacha familia.
Naomba kuwasilisha